May 19, 2011

I LUV COLOURFUL DRESS FOR SUMMER

Colourful imechukua nafasi this summer haswa rangi ya njano inashamiri kwasas madukani kumejaa njano color.kunapink na orange nayo inavutia pale zinapochanganywa kutoa combination moja ya mvuto kama hili gauni hapa

                          
                              viatu ni vyarangi ya kutulia sio brity hapa utakuwa hottie.
                                 
                                                          yellow luks gorg

Fashion  huwa haifi ila inapotea tu kwamda na inarejea tena,2008 yellow ilikuwa katika list ya rangi za summer then this year imerudi tena.

Me and my lovely sist Nancy yrs back,tulikuwa tunaenda
 kuhave fun na yellow outfit.i real luv her . 

4 comments:

Anonymous said...

mamaloshi alikuwa model kweli hivi kanenepa

Anonymous said...

jalux ulinenenpa mpaka macho i luv that

Anonymous said...

picha na B.K ahahaa nami kwa kukumbuka lol! mlipendeza balaa unazikumbuka nyakati zile mh! nawapenda sani

Kokusima

JALUX'S FASHIONS said...

haha koku unakumbukumbu sana nikweli ya brayan.tunakupenda pia

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...