Feb 29, 2012

MY FAMILY

Bye bye baridi ,sasa mtu unaweza hata ukatembea mjini na kuenjoy, 
week hii nilipata off nikatembea taoo(town)na familia yangu.mda wa viatu sexy ndio huu sio maboots makubwa tena hakuna kufreez baridi imekwisha! 
I had my Brown Ankle boots from Belle.
lunch time
baada ya mizunguko

my little Angle  always smile 

that's my baby dady so delicious

Muke ya murundi akingojea nyam nyam
Mmm mama nitaweza kweli hiki chakula nishazoea Happy meal.
nilimiss hii kitu mbaya diet tupa kule
who made possible fotocopy of your pappa.......
kama maharagweee walivyofanana
ciao

12 comments:

mamaloshi said...

hahahhaahha umeanza tena mambo ya mac d .mtaanzatena kunenepeana .mmmm mi naogopa wasalimie familia yako tumewamiss mungu akipenda tutaonana soon .jalux family hureeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

Anonymous said...

hizo kucha zako vip tena alafu mbona una vaa nguo na viatu vya bei poa sana?

Mdau Norway said...

kucha zinanini umezipenda!pendeza mama viatu vizuri hivyo

sweetie gal jackie said...

jamani watu visa siuseme tu umezipenda nguo zake hahah

JALUX'S FASHIONS said...

asante my best mdau najackie.@umeonaee bei poa n i nailed it fashion sio pesa ni how made it

Anonymous said...

kama hivi viatu bei rahsi basi vingekuwa stockholm oyeen ndo kwanza natoa tongotongo humu hata hilo duka la bell sina habari kama lipo jijihili mama upoo juu mwacha aoche kinywa huyo

kokusimah said...

Safiii kijuly kwa raha zako, nilikisakaje kiatu hicho mpenzi na kukipata kikawa 40 si hakikunitosha niliumiaje mpenzi wangu. Pendeza sana km kawaida ya wewe mpendwa wangu, hi kwa familia missing u.

Mnapendeka nyoote.

JALUX'S FASHIONS said...

pole ngaiza nakumbuka ulikuwa unavitafuta belle wamefungua duka lao karibu na job nitakupeleka kama utabahati kuvikuta

kokusimah said...

Asante nipelekege mpenzi, nimechoka kutokwa udenda, nimeona kingine chenye msimbazz na vile toka nimeona chako nimekuwa chizi nataka nijitose nipeleke kwenye meza ya mzungu (wink) kesho ndo yenyewe sikupatii mlipuko kimbiza

pendo tz said...

happy family may God bless u

Anonymous said...

umependeza sana mama, anesema kiatu bei poa aweke chake tuone, mtu mzima hovyooooooooooo.

Anonymous said...

hahhahaha fashion sio lazima uvae vya garama wadau.hawajajua fashion .mmm makubwa ni kujipangilia tu kimavazi sio garamaa .unweza ukavaa vya garama na usijuekujipangilia hahhahha

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...