Mwanamitindo Jackie Patric week end iliyopita alifanyiwa bridal shower na shogaze .Kabla ya harusi yake anayotegemea kufunga,alikuwa na dadaz za jiji enjoy a small gallery
Gown limempendeza!
Gals na bi harusi mtarajiwa
white outfit always rocks
Sherehe bila keki hakunaga
Jokate
Huyu ndio bwana shemeji anaetegemea kumwoa Jackie.