Katika style nyingi za nywele warembo wengi wanapenda kuzipaka rangi tofauti tofauti.kuna nyeusi,nyekundu ,blonde,purple,brown na nyinginezo.ila swala la kupaka rangi nywele inabidi mwanamke uwe na staha mana wengine wanapaka rangi za ajabu kiasi cha kwamba watu wanashindwa kukuelewa umepaka vitu gani na upo mazingira gani?kama mwanamziki ukawa stage fine utataka ounekana tofauti sasa unaenda kwenye party kweli unapaka hivi.
actress Jackline Wolper kapaka rangi za bendera ya Tanzania,binafsi naona kachukiza,je wewe unamwonaje ?