BBQ TO NITE ipo mikocheni nnje ya jengo la May fair.
hapa bwana wanamishikaki noumer kuanzia beef,samaki na kuku
wanaserve na chips,na vyakula vingene vya kihindi hindi.
mpishi ndio huyo alishatuzoea mana kila jioni ndio kijiwe , wanafugua saa moja hadi saa 5 usiku ikifika mida ya Run way Lounge unapitia pale ni karibu na shopperz plaza unakulaa then unenda kuruka nyoka.
ni yam yam one plate anauza elf 6 ila utamu wake unasahu kam ni gharama.
hii siku nilicheka hubby aliorder saani moja ,mara ya pili mie na mpishitupo hoi
kumbe utamu ulimzidi akajitetea wanaweka portion Ndogo
after kushiba pose zikaanza
wana lunch buffet nayo ni yam yam kwa bei ya hapo juu
wala huTAJIJUTIA.