Aug 20, 2013

FEZZA KESSY

Fezza mshiriki wa big brother chase 2013 akipose .

Fezza spotted last week at nyumban lounge ! na kivazi chake cha suit bila top
Kwa ndani na Hali ilikuwa hivyo lol sexy her hapo anamtoto n mwili bado sexy !

Aug 14, 2013

TEAM NATURAL

Lol wale wa kupenda fake fake sasa inawawia  vigumu  kwa wapenzi wao ,mana wanakimbiwa
      Kukwepa gharama !!ila sie team natural no stress wala gharama !!!Lol

SHAMIMU NEW LOOK

                        Shamimu looks more beauty with low

Jun 29, 2013

HUDDAH LIVE IN DAR

Huddah live in Dar  


Huddah the crazy one fr.o.m. Kenya alieshiriki Big brother Africa 2013
 ,amealikwa Tanzania Kwenye party ya Midyear bash @element club kuhost.


Wat i luv fr.o.m. Her ni hiko kitumbo tu flaaat


Jun 25, 2013

RIHANNA IN THERAPY TO GET OVER CHRIS BROWN

Katika wadada wasio jielewa  huyu ni mmoja wao gals unamlilia mtu unaempenda ila hukwishi kumkwanza kumuumiza kila anapokupa nafasi Kweli dhamani ya kitu unakiona usipokuwa nacho!
Badgirl Riri 

Me nampenda Sana Riri ila ikifikaga mda wake kwa chriss Brown huwa namtoa kasoro haeleweki mambo mengi anamfanyia ,heshima hana sasa kama unajijua huyo mtu ndio anakupa Furaha Kwenye Maisha yako mdhamani na kumpa dhamani yake,poor her sasa anahangaika kwa therapist sababu ya mapenzi ,it's too lake Karrueche kesha mbeba Chriss Brown na anamlea ivi kama mwanaume anavyotakiwa lelewa.
Karrueche n Chriss

Jun 20, 2013

MAKEUP Vs MAKE UP FREE

Wolper Gambe unamwonaje akismile n makeup inapendeza Sana au make up free ndio best kwake!
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...