HAWA WATOTO WAMENIFURAHISHA SANA LEO LMFAO.
DAR LIVE NI UWANJA MPYA WA BURUDANI HUKO MBAGALA
WATOTO WANAMICHEZO MINGI, WANAMUZIKI WANAFANYA
LIVE SHOWS, PANAJAAE ALIEPLAN HII KITU HUKO
MBAGALA ANAAKILI ANAMAKE MONEY LIKE HEEL
WATU WENGI BALAAA THE GUY IS REAL MAKING MONEEEEEEY |
TID NDANI YA MBAGALAAAAA |