Naona kama walikuwa na heavy makeup mpaka wanalose ile natural look

Tamar nailed it ,those heels- less shoez,hili gown nililiona duka flan hivyi nitwapa infor.
sema parefuu labda ndio nianze dunduliza kibubu lol

Toni Braxton

TOWANDA

TRACIA

Trina mwenye red gown anataka kuwa kama Ashanti

miss E na Wendy

At the show

Toni miguu kama muke ya murundi lol

kwao wote ni miguu minene kama watoto wa mama dany lmao

cheki na hawa so beautiful kimini kimetendewa haki.