she is a some one who luvs me from the heart,no matter how much i argue
she can't be drawn apart
friend who helps me through difficult times,she plays her part like a mumy,aunt,bibi sijui niexpress vp ,unajali maisha yangu kwa hisia zote za kucheka na kulia!nitakushika mikono yako na tuianze safari,kwa pamoja tutasimama na kwapamoja tutaanguka
kwamwe sitokuweka nyuma,no matter what God will keep us together.

She flies with me in life with the beauty of a dove.nipo upande wako popote utembeapo usisite ,ukianguka nitakuokota,ukikwama nitakusukumanamshukuru mungu kila niamkapo kwa kunibariki dada mwenye upendo wa ajabu kama wewe.am proudy of you no matter what!

she is as sweet as chocolaten smooth as fudges,to me your my angle.
your my best friend i have never had,sihitaji best friend zaidi yako najua hatonienyesha mapenzi ya dhati,
yenye ukweli ,upendo inamani na kujali.wat i can say
I LOVE U NANCY