Feb 19, 2012

HAHHA GET A LOOK FROM CL

11 comments:

Anonymous said...

KUDADADEKI YANI UKISIKIA KIUBISHIUBISHI LEO UMEPOST KITU HASA YANI NAFSI YANGU UMEIKOSHA.
KWANINI WENGINE WAVAE MI NISIVAE NAKWAMBIA TUTABANANA. NAENDA KUPAKA VIATU VYANGU VYOOOOOOOOOOOOTE RANGI NYEKUNDU KWA CHINI SIKUJUA KM HII KI2 INAWORK OUT NA IKITOKEA NAPIGA PICHA BASI NAMI KAMGUU NAKANYANYUA KDG

Anonymous said...

halooooooo umemtoa bi shoga pembeni hapo kwenye blog list?????????????? i cn gues kuna ki2 ha ha ha i saw it comming walagh coz i knw the chick

JALUX'S FASHIONS said...

lMao mdau hapo juu umenichekesha mnoo asante kwa kunipa raha

Mdau Norway said...

ukiona hivyo yeye anatangaziwa blog yake yeye hatangazii wenzake atakama mie tupilia kule,

Anonymous said...

duuu hapa tunaonyeshwa jinsi gani wanawake tupo wajinga yani nyayo nyekundu inakufanya uteketeze mapesa, kumbe nyingine rangi za gold star hahha

Anonymous said...

NO MORE KUTEKETEZA MAPESA KUANZIA SASA KOPO LAKO LA RANGI BI SHOGA TENA DOGO TU WALA SI KUBWA LINAKUTOA. I BET HUU MCHEZO UMEANZA KITAMBO SN WATU TUMEKAA KUUMIZA KICHWA LINI TUTAVA CL KUMBE INAWEZEKANA. NARUDIA TENA KESHO MAPEMAAAAAAAAAA NADAMKIA KWENYE DUKA LA RANGI NA HIVI NIKO OFF BASI HIKI NDO KIBARUA CHA KESHO.

I CNT WAIT JAMANI KUTOKEE PARTY LOH NNANDAA MASHAUZI YA KUFA M2 HASA NIKIONA KAMERA

Anonymous said...

haloooooooooooooo anapenda kutangaziwa eeeeeeeh MAKEY

Anonymous said...

jamaaa taratiiiiiiiiiibu shuti anaongea na simu vingine vimepekiwa tayari kwenye mabox pembeni kuleee manina kweli wajinga ndo waliwao loh

Anonymous said...

mbn mange hatangazi blog ya m2 lakini yake inatangazwa?????????

kokusimah said...

Ahahaa hahaa hii imeua hahaaa Jully umeipata wapi hii jamani?? Sasa mi ngoja nikatazame Kama kivito kinaniruhusu nkarudishe vyangu aisee hahaa yaani na Nina mpiga rangi mzuri Amani kuta zote kazisajiri sahihi yake so sitateseka na hivyo napenda nyanyua mguu kwa picha ntanyanyuaje sasa,Kwa kweli hiki kitu kimeua.

Anonymous said...

ni hapo itakapo nyesha mvua shosti unaanza kuchuja taratiiiibu rangi nyekundu foorprints kwenye tåg!au floor za watu!hahahahaha mbona vipo viatu vingine vizuri tujamani na vya ukweli!!!!bora kupendeza in low budget then pesa utanywea kwa party au shop in high budget till u broke then in the party unang'aa sharubu hunywi kitu?
thats my theory!!!

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...