Feb 19, 2012

MY NEW HAIR STYLE

Hey guys za toka W-end!namatumaini  mlihave fun.Yangu ilikuwa poa nilikuwa
                    home  na baby B tumekesha kuangalia Cartoon na Movies .

I got my new hair style, tiny hair pick n leave i had them before I left Tanzania. It takes patience to sit down throught hours to get tiny hair .After having Brazilian weave ,
sasa nimepumua  ninamzigo mpya  i luv them, kazini hawakwishi zishika shika lol.
                  
DSCF3025
I had this bright dress a couple of weeks ago when i attended office party.

17 comments:

Anonymous said...

nywele nzuri atamimi nimezipenda

JALUX'S FASHIONS said...

Asante my dear

Anonymous said...

shoga km kupaka wanja kuna kozi basi nenda

Mdau Norway said...

Mama brandon kweli unakosesha watu amani yani katafuta la kukosoa anaona ngoja nijipe moyo kwa wanja , wala sioni kosa hapo umependeza mbaya achana na waosha vinywaaa wao ndio waende kozi ya mavazi ,nywele bila kusahau makeup mana wanakuwa kama .....yani wala simalizii upo juuu kama mbingu

Anonymous said...

jamani mbavu zangu mie kwekweee kwekweeeeee kwekwekweeeeeeee kuna blog moja hapo pembeni umeiweka nimekuta mdada kaweka ETI CRAYZ LOOK jamani kanistua km dudu jamani jamani mie leo ntalala kweli????? na mume wangu kasafiri najuta kutazama

kokusimah said...

I luv it. Wazingu watazishika mpaka zikatike. Keep it up.

Anonymous said...

bora umetuwekea muonekana wa hair do,maana tulikuwa wengine hatulali tunasema sijui alitengenezaje nywele zakeeee,haya mabo hayooooo tenaaaaaaa.....jibebeni chacha.midomo mwaaaaa kama geti la muhimbili hovyoooo,mpakeni wanja mnaojuayaaani wewe UMEPENDEZAAAA MAMA BRANDON.

Anonymous said...

kakushtua na nini kama sio umbea? nambona mtashtuka sana mwaka huu nyie msiojuwa pamba wala kucriet vitu mpaka mcopy ndio mana blog yake kaita street book style hata maana yake ujuwi haloooooooooooo kaaa mkaooo wakushtushwa kila siku unaonekana roho inakuchoma kama msumari mbona ujasema kwake umekuja kusema huku?

mamaloshi@ said...

hahhahahhah watu na wivu wao.mdogo wangu umependeza mimi nimenenepaje ndo nikiweka picha zangu watazishangaaa.ngoja nimalize mazoezi ntaziweka hahahhah mama loshi

JALUX'S FASHIONS said...

Guys mnavyofanya humu sio poa unatatzo na mtu mface direct sio kuja kuchafua hali ya hewa humu tafadhali .ukitaka kashfa ni kashf mie huyo mwingine mtafute mahali husika sio humu.

clara Tobias said...

Thanks mdau hapo juu kwakunijibia uyo mshamba, inaonekanaje ulivyokuwa mshampa wa fashion hata ujuwi maana ya crazy look hahaha nandio nimekuwekea sasa celebrity in crazy style kashtuke tena, dont keep talking blaa blaa even you dont know about fashion, mshazoe vya kuiga kubuni holaa, atajuwa wapi mshamba huyo maana ya street book fashion kama hajawai hata kuona crazy look? pole na mzigo wako wa ushamba.mi uniwezi hata kwa dawa utabaki ukiumia na roho tuu.

kokusimah said...

Si uzibane comment nyingine kwani alishindwa kucoment kule alikoiona Kama mwenyewe kakosea akajirekebisha?? Tuwekee hizo mama Loshi nimekumiss.7

JALUX'S FASHIONS said...

karibu clara ,ngaiza ningeibania asingepata msg vizuri mana nimechoka kuletewa habari za watu humu mara kafanya hivi mara vile humu kunanihusu mimi umenishindwa mimi basi soma habari toka sio lazima ucomment habari za maisha ya watu nadhani nimeelewaka.

Anonymous said...

siku zote ukitupa jiwe kwenye giza ukisikia YALAAAAAAAAAAAAA ujue limempata m2 ha ha ha ha rahaje????

kokusimah said...

Tell dem bajue, wabongo kuweni na utu si fun at all kubeba huku nakupeleka huku, acheni ulumia kuwili. Kuweni na utu na Mungu atawabariki, je isingekuwapo anonymous watu msingesema mnayotaka? Kujivalisha ngozi za kondo ndani mbwa mwitu. Mungu hapendi.

Anonymous said...

yaani mama b ni kim2 1 ndio kinatusumbua humu sijui tukitajeeeeeeeeee,ili kisiwe kinaingia mi next tym nakitaja b.coz hawezi ku2haribia blog.

Anonymous said...

uko vizuri...hilo li dada linagere,a.k.a wivu linaumia moyo. we mshamba unaekandia wezio utajibebaaa, linajidai hoo mume kasafiri, kuwa na mume imekuwa tangazo , mbona hata mbwa ana mume

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...