Ukavaa pencil skirt yako nyeusi,shart jeupe na koti jeusi kwa juu ,viatu nadhifu bila kusahau nywele ziwe simple sio kama za occasion,makeup za kiofisi usijirembe sana mpaka wakakushangaa watu wenyewe.mavazi haya yatakufanya ujisikie comfortable na free kwa interview yako.
BAADHI YA MAVAZI HAYAITAJIKI KWENYE INTERVIEW
1:Suruali inakubana sana mwili wako.
2:Kimini kinachokufanya kukuacha uwazi mwili wako
3:Top ya kuacha tumbo wazi na kiuno.
4Nguo yoyote unayohisi inakufanya usiwe comfortable
No comments:
Post a Comment