Mercy muigizaji wa movies za nollywood (naija)hapa full mvuto akiwa amepaka makeup na nywele zake alizosuka rasta ila kwa upande wa pili huwezi amini kama ni yeye ,anapokuwa hana makeup na akiwa na nakipara ushindwi sema ni watu wawili tofauti.
M
ercy akiwa kipara na bila make up,je anafaninia na picha ya mwanzo?kweli nywele za bandia na makeup zinafacha mengi ,ila mumie alijiachia na kipara kwa ajili ya shooting ya movie yao mpya, amelipwa pesa kwa ajili ya kunyoa hiko kipara. du ni nouma hapo no mvuto.
1 comment:
hahha kazi ipo hapo
Post a Comment