Feb 27, 2012

GET A LOOK SPRING NEW COLLECTION -FRORAL PRINT

I HAD MY FRORAL PRINTS LAST SUMMER ,IT'S  BACK  AGAIN IN THIS SPRING 2012 ,AM STILL ROCKING IT FROM MY WARDROPE ,BLOUSE FROM BIK BOK N WHITE SKINNY LEGGING FROM  KAPPAHL
MY MEN'S  SHOES LOAFERS FROM SCORRET ACCESSORIES H&M N ÅHLENS
MAKE UP MARY KEY
XOXO

18 comments:

mamaloshi said...

nimpende nani?sasahiii umefanana na doro kwishakazi .balaaaa.pendeza my pacha .

wahida gerezani said...

jamani juliumependeza hongera unene wte umeisha .au?ndo kazi pole ila umependeza wasalimie ndugu zako .

willielmina said...

wewe dada mrembo sana,umependeza mnoooo.

kokusimah said...

umetoka kisanvu mke ya murundi kama kawaida yako. saafi

mama claire said...

umenoga sasa mama brandon.

MUKE YA MURUNDI said...

Asante warda yap ule unenemwili wa utoto ,ulaya unene si deal kupata nguo nitabusana ya big size

MUKE YA MURUNDI said...

asante muke ya baba mbila mbila

JALUX'S FASHIONS said...

ASante willie uzuri huu ndio unaomvutia murundi bana

MUKE YA MURUNDI said...

hahhaha ngaiza hapana chezea muke ya murundi ni hotter than fire si unamwenyewe mashallah

sweetie gal jackie said...

sexy mama me luv that makeup see u soon kram

Mdau Norway said...

yani nimekuzooom sasa nimekuon jicho na uzuri wa asili mbona natamani namie niwe mjaluo wajamennnn

Anonymous said...

PIGA UA GALAGAZA TUPA COCO BEACH ILIWE NA MAMBA, IPANDE ISHUKE MAMA MGUU UMEPEWA NA SIJUI KWANINI UNAUCHUKULIA POA MANA HUUONYESHAGI MARA KWA MARA

JALUX'S FASHIONS said...

hahah asante my dear,si unajua kibaya chajiuza kizuri cha jitembeza mie naiona kawaida mana ninayo tatizo ukiwa huna fujo zake sasa

joyce white coco beach said...

wewe dada ukija dar niletee hiyo nguo na umeondoka hujaniaga jamani,mie nakusubiria cjui mwisho wa mwaka tena au laaa,nimefurahi kuona blog yako ntakuwa naingiamara kwa mara mpnz.joyce mwenye jiko la kitimoto coco beach.

Anonymous said...

ha ha ha ha ha ni kweli shoga ukiwa huna unakuwa na fujo haifai ila ndo ivo kiubishiubishi kupitwa hatutaki basi weeeeeee ingekuwa ngozi basi ungepaka mkorogo, mwili utapungua au kuongezeka mguu nao?????? kudadadeki acha tu pawe hapatoshi mana km ndo unakigimbi hata ufanye dieat hakitoki

JALUX'S FASHIONS said...

lol asante joyce samahani mwaya nilibanwa mno ila asante kwa uduma nzuri ya kiti moto nimerudi nimenona huyo poa nitakuletea mwezi wa sita nipe no yako tuongee zaidi

Anonymous said...

nyeupe imenoga sanaaa,hongera kwa kumaintain mwili.

JALUX'S FASHIONS said...

asante.my dear

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...