May 22, 2011

ULEVI UNAPOMTAWALA MSICHANA MREMBO INAKUWA HIVI!

                                
Ulevi ukitawala sehemu ya maisha yako tena kwa mwanamke ni mbaya sana. unahatarisha maisha yako kwa kiasi kikubwa sana.mwone mdada mrembo kama huyu aliekwenda kuangalia kinyang'anyiro cha miss dar city center nakunywa pombe mpaka kupitiliza. mdada mzuri anaswagg za mana NA KUMPENDEZA sema pombe ndio inamshusha dhamani yake yote.Mashost wale wenye mchezo huu wa kunywa mpaka kuzimia acheni mtaja bakwa bila kujijua jamani, itawale pombe pombe isikutawale.

No comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...