Jul 31, 2011

OFFICE WEAR ZINAWEZA KUVALIWA KWENYE STAGE?

            
Kelly Rowland alifanya show ya nyimbo yake mpya inayoitwa ``Motivation``alipanda  kwenye stage akiwa amevaa suit nyeupe ,mim binafsi nilidhani vazi hili ni la kiofisi zaidi kumbe hata kwenye stage linaenda inategemea limebuni vipi,yeye kavalia bra tu kwa ndani ,tofauti na wengi wetu tunavyojua huvaliwa na vest at top kwa ndani je wewe hili unalionaje!la suit kwenye stage.

                                 
anabody size nzuri ,sexylicious

3 comments:

Anonymous said...

Kapendeza style ya suit yake inaendana na hayo mazingira

Anonymous said...

She got a lovely shape


Mdau malmo

Anonymous said...

kapendeza sana inavalika popote bwana jinsi utakavyoivaa 2,inaleta maana.

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...