kama kungekuwa na uwezo wa kuuzwa hiyo rangi madukani basi.ningekuwa wa kwanza kununua unanyima.watu amani mnoo na uzuri wako that's what we call natural beauty no carolite added
hahhahah yani nimekukumbuka kweli ulipania hadi umemaliza malengo yako hongera nakutamania mama lazaro.bado uko na omary kweli mnapendan tangu miaka ile hongera sana mungu awatanghulie mdumu daima na na daima .wasalimie ndugu zako .tutaonana nikija uko bye
mama noel kwani mumeo kbadili dini tena .mbona mambo ila umependeza .mahaba na wizi wa mapenzi hadi baba wa watu kakufata dini yako makubwa kichekoooooooooooo wajaluo nomaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
hahahhahah mmdau ndo mana yake ukipenda boga penda na......?unajua kila kitu mungu ndo anapanga utaenda kote mwisho wasiku unarudi palepale.so nadhani mungu ndo kapanga iwe hivyo.izo imani tu potofu .mungu muweza yte ndo anatupangia .penda wte
16 comments:
My nancy pende wewe, me love her too
english figure kitako cha kubeep mashalllah mamaloshi
sexyyy mama
Kwani role model maana yake nini???
mama lao wew mkaree nakupendaje unakosesha usingizi yule munene kam kabati ajikoroga kama.mujua hhhhaha luv u mpaka kiama
kama kungekuwa na uwezo wa kuuzwa hiyo rangi madukani basi.ningekuwa wa kwanza kununua unanyima.watu amani mnoo na uzuri wako that's what we call natural beauty no carolite added
nancy hizo nywele nipe wink pls
nancy uko poa umependeza shoga.shem hajambo?
kitako dot.com hayahaya kumekuchaaaaa.
hahhahah yani nimekukumbuka kweli ulipania hadi umemaliza malengo yako hongera nakutamania mama lazaro.bado uko na omary kweli mnapendan tangu miaka ile hongera sana mungu awatanghulie mdumu daima na na daima .wasalimie ndugu zako .tutaonana nikija uko bye
hongera kwa rangi nzuri mna ni wachache wanakaa na rangi zao love u.
mama noel kwani mumeo kbadili dini tena .mbona mambo ila umependeza .mahaba na wizi wa mapenzi hadi baba wa watu kakufata dini yako makubwa kichekoooooooooooo wajaluo nomaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
pendeza mamito love yeah
hahahhahah mmdau ndo mana yake ukipenda boga penda na......?unajua kila kitu mungu ndo anapanga utaenda kote mwisho wasiku unarudi palepale.so nadhani mungu ndo kapanga iwe hivyo.izo imani tu potofu .mungu muweza yte ndo anatupangia .penda wte
Upo juu sana
my nices and nephews look mwaaa...y'all rocking for sure...mad love to all of you...
Post a Comment