HOYCE TEMU ALISHAKUWA MISS TANZANIA 1999
IRENE KIWIA ALISHAWAHI SHIRIKI MISS TANZANIA.
Miriam Odemba miss earth 2008 aliwakilisha Tanzania.
Shamim masha ni web editor wa darhotwire.
Mwamvita Makamba mkurugenzi wa voda foundation.
Rah P alikuwa mwanamuziki wa hip hop
Luiza mbutu mwanamuziki
Solo thang na molati wake
RICHARD MSHINDI WA BIG BROTHER AFRICA NAE ANA 0.5.
WAFUATAO WANA WATOTO ILA SIKUPATA PICHA ZA WATOTO WAO.
Basila mwanukuzi alikuwa miss Tanzania 1998
Maunda Zoro mwanamuziki.
Monalisa actress
Aunt Ezekiel actress.
Nora actress.
Nargis mohamed miss Tanzania namba 3 2003
NAncy sumari miss tanzania 2005,na ni miss word Africa 2005
1 comment:
huyo aunt ezekiel inasemekana ni mjamzito kwa sasa ndo anategemea kumbe wa pili bac dah.thx kwa habari nzuri na maunda hataki kumuonyesha mwanae inasemekana kazaa na mume wa m2.
Post a Comment