CLOUDS WALIANDAA MKESHA WA MWAKA MPYA KWENYE VIWANJA VYA LEADERS,
NA WANAMZIKI ZAIDI YA 20 WALIKUWA WAKIFANYA SHOW LIVE I WAS THERE WITH MY GAL NANCY ,NA HUBBY ALAIN TULIENJOY FLAN.
MWANA f.a ,linah,fid q,mexico,Tid,hawa ndio walinifurahisha
HAPA ILIPOTIMIA SAA SITA KAMILI WANAMZIKI WOTE WALIPANDA JUKWANI
MAMBO YALIKUWA HIVYO
NANCY N MOI LADYS IN BLUE
HAPPY PIPO
mawazo yalianza tuhamie wapi sasa baada ya kuwona mwaka tukahamia
run way lounge pale shoppers plaza juu.
3 comments:
picha nzuri mwaya,hongereni kwa kuinjoy dar ila inabidi ununue camera ya kutoa picha quality kuna sehemu zingine inawatoa bila mwanga wa kutosha,otherwise gud.mama juniour holland
Safi sana wapendwa wangu, ila nacho kiona hapo kichwani kwa pacha wako nini jamani?? Nancy ume do nini?? mlipendeza watu na viuno vyenu.
Cymah
Ndio picha nzuri sasa mbona kiatu uonyeshi
Post a Comment