kwenye Clara au Ngaiza blog ukajua flan ndio kakatusi ni no.anatumia majina ya watu kujifurahisha nafsi yake kutukana watu.But u aint play with me gal hunajipya utalonipa likanishtua yote ni marudio.
OOps my lips siitaji Surgey WALA wanja mweusi mafuta ya mgando tu
kwisha kazi lol unatamani ungekuwa nao mwisho wa siku unaishia kuutukana.
Moi n My little gal Devota ,my sis's daughter
mama unajua gharama ya kuchonga lips wewew acha pressure ikupande!
love n peace
msipoteze muda wenu kuandika habari za watu humu kama mmeshindwa kusutana
kwenye mapress conference yenu huko basi mituharibie starehe.
BY UTAWALA
MUKE YA MURUNDI
11 comments:
Ee ka julikana achomwe moto uyooo
Maisha magumu jmn kila mtu anadata kivyake au halitokeaga milembe ndio hakaja huku
Tobaaa napita nitarud midaz
Hapa kwetu mbagala nyuma mbele jalala bac na domo lako Pia ni jalala
Blog zimefunguliwa kufuraisha watu na sio kugombanisha km unaona upatani na mwenye blog hina aja hutembelee humu unatamba kimya kimyaaaaaa
Msada tutani jmn konda au cjuw dereva wa blog msaada tutani nimjue na Mimi uyo mtu km yupo kwenye list friends wangu fb ni block
Mmh namfukuza na kwangu
aramba aramba hamu hamu kumekucha leo kapatikana atajweee huyo asulubiwe mambo ya manzese asilete humu
kwa mwendo huu wacha yulepiga matunguli ma ramli nafsi impasuke hahaha jina mupya.muke ya murundi unambo wewe
hizo lips i cant get enought walah kitu angelina jolie
picha ya kwanza ulipendeza mno ulikuwa waenda wapi?shost kumbe wajua kudrive eeeh hongera
Post a Comment