Dec 30, 2011

NAWATAKIA KILA LAKHERI ZA MWAKA MPYA

 Hey guys za xmass!poleni sana kwa ukimya wangu ,nilikuwa busy kama nilivyowambia ila kwa sasa nitakuwa nablog mara kwa mara kuanzia leo .Nawatakia kila lakheri kwenye kusherekea mwakampya 2012 kwa wale walio dar tukutane paleee....kesho saa kumi jioni

nilimiss watu na comment zao jamani .
ciao

12 comments:

kokusimah said...

Chafi kijuli salimia wanangu naona ZAmu Yao kukuogesha.

Anonymous said...

masikiniiiiii.....

Anonymous said...

mama yangu ulivyokuwa mweusi hata nuru una jamani ukaenda kujivalisha ivyo ulichukizaje lol ujaona nguo za kuogelea jamani alafu hapo wapi mbona mi sielewi kabisa unaogelea na samaki uoni kinyaa lol kujishaua tu una lolote ujui kula bata waachie wenyewe kazi yenu kuponda wenzenu alafu amna kitu sasa miezi 19 umefanya kazi unaenda kuogelea na samaki pole sana

Anonymous said...

jamani mbona chupi na sidiria mbaya iyo jamani alafu ivyo vinavyolea wadudu gani uogopi

Anonymous said...

pendeza mwaya mama na wanawe tunaomba picha za black party

Anonymous said...

ujapenda kabisa aibu

Anonymous said...

chupi la mtumbani hilo.

Anonymous said...

Jamani mwacheni mtoto wa watu hata kama ni mshamba hajui kuvaa mwacheni tu.Lakini na wewe Dada kwani nini unakua na Blog wakati una jijua hujui mapigo heavy.humu watakutoa roho bure mdogo wangu.

helena said...

what goes around,comes around au sio wadaaauuuu......

Anonymous said...

Kweli kabisa.

Anonymous said...

ndo mfunge midomo yenu kuna cku nanyie mtashuka ndo mtajua,c kuwa2kana wenzenu kila kukicha c tabia nzuri kama unajidai unajua la mwenzako nalako vilevile linajulikana ni kutake easy 2 ndo maisha hakuna mkamilifu duniani bwana.kama umeingia hujaona cha kukoment geuza njia then uendelee na yanayokuhusu nikwa nia njema tuuu c kujenga uhasama kwa vi2 vya kipumbavu.

mamaloshi said...

MAMALOSHI@MCHEKOOO KAMA UNATISHIKA UNAFATA NINI?UMU UNADHANI TUNAMDA WAKUPAKA MKOROGO KITU FRESH .COLOUR MTACOMMENT MCHANA ASUBUI MTALALA KWA RAHA ZETU JIKUNE MKONO UNAPOFIKA .SIE TUPO SIMPLE FAMILY HATUTAKAGI MAKUBWA OK NADHANI MNALIJUA HILO NDOMNA MKASEMA WASHAMBA NDO TUNAUONYESHA USHAMBA WENYEWE HAHAHAHHA MJIPANGE TENA NA COMMENT MZIJAZE .UMEZALIWA WAPI UOGOPE MAJI HAHAHHAHAH KKUJISHAU WADAU WENGINE .

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...