Elizabeth Gupta ni mshiriki wa big brother Africa 2009.aliwakilisha Tanzania ila hakubahatika kushinda,ila boy friend wake ndio alishinda Kelvin alikuwa mshiriki toka Nigeria.sasa wameamua kuties the knot.
Bisharusi mtarajiwa Eliza
lizy na husband to be kelvin siku ya kitchen party.
lizy na mama yake.walipendeza njano na black.
lizy akiyarudi yori yori no timeee.
Kelvin akaona ngoja nikusidie my wife
naona kulikuwa na sare 2tofauti hizi za orange na njano na black
shamimu na wenzake walimix hivo.
bwana harusi yeye alimix black n white.
raha ya sherehe kutunzwa shost akanukizwa pesa.
KILA LAKHERI ELIZABETH KWENYE HARUSI YAKO WATANZANIA TUPO PROUD OF YOU.
7 comments:
ELIZA kapendeza,na hata size ya mwili wake ni poa kuliko unakuta mtu anataka kuwa na kichen party au harusi ndio kanenepeana huyo hata nguo,hazimpendezi big up eliza.
Eti watanzania tupo proud na wewe kuolewa mbn hambo lakawaida jamani yani mi leo nkimuoza bintiyangu watanzania watakuwa proud. Hapo hapana kwanza badili background
wewe unaeona jambo la kuolewa ni kawaida mbona wewe hukuolewa umeishia dungaembe na kwanza nani kauita humu,eliza tupo proud nae utaki jibebe bibie huo wivu.
jamani mamalosh blog yako nzuri sana na ndio kwanza ina miezi 2ila unajitahidi sana,mana news zipo up dated kila siku huyo anaekwambia ubadili background ni wivu na ajue mbuyu ulianza kama mchicha vile pumba zake mpotezee.kwanza kaitwa humu msonyoooo
yellow n black that fab..colour bwana shem kelvin luks stunning me luv him.....hongera elizabeth
siku mwisho nae akioa muwe proud ha ha ha ha zis is ril gudi
UMEPENDEZA SANA ELIZA.MIMI NI MTANZANIA MWENZAKO, NAKUPONGEZA. SHIKILIA IMANI YAKO, MUHESHIMU MUNGU, MPENDE MUMEO!
Post a Comment