Tony braxton mwanamuziki alietamba kwenye anga za muziki miaka ya zamani ,alikuwa kimya tangua alipougua cancer na baada ya kupona alitoa album yake mwaka 2009 iitwayo Pulse.Tangu hapo amekuwa kimya mpaka mwezi huu ameibuka tena kwenye maswala ya reality show,ambayo itakuwa inamuhusu yeye na familia yake,'Braxton family values' ndio jina ya show yake itakayo anza 2011 april 12.show hiyo inahusu family drama,money issue,siblig rivalry na mengineo.celebrity wengi wanareality show siku hizi bado wabongo nao.
TONY KWENYE UTAMBULISHO WA SHOW YAKE
TONY NA BAADHI YA SIST ZAKE
Braxton family, kweli hiyo show itakuwa na drama mana tony anadada wengi
SEHEMU YA KWANZA YA SHOW YAO
No comments:
Post a Comment