BRANDON NI MTOTO WA SISTER WANGU ANAUMRI WA MIEZI 10 NA WEEKS 2 THIS WEEK HE DID A GREAT THING ALICHAGULIWA KUKITANGAZA KITUO KIMOJA CHA
HUDUMA YA AFYA KWA WATOTO AMBACHO WATATEGEMEA KUKIFUNGUA MWAKANI
MWEZI WA PILI HAPA NCHINI SWEDEN KWENYE MJI WA STOCKHOLM SEHEMU YA NORRTÄLJE.KWA MAELEZO ZAIDI INGIA TIOHUNDRA.SE
4 comments:
katoto kazuri sana hongera kwa wazazi wake,kamesha anza kuwa kacelebrity
wow hongera mtoto wangu Brandon. Mungu akusimamie umeanza mapema. Go boy Go
kababy kazuri sana honge sana my sister na wapa big up kwasana tu
namuona obama mdogo kaisha anza kuonyesha ujuzi wake mapema,god blees u,brandon
Post a Comment