nje ya Cinema tukingoja kuingia
Colombia bila pop corn isingenoga kabisa
baada ya 1hr na 48mins movie ikaisha ilikuwa nzuri sana. Zoe kwenye hii movie amemfunika ata angelina Jolie kwa uigizaji,it was the best movie ever itafute nawe uenjoy.
Movie imekwisha ikabidi tuhamie kijiwe kingine
tulihamia club
entre
nilifurahi ili gown kunitosha nilinunua lilikuwa halinienei kwa unene.
tulipoingia chakwanza counter
Tulijaaje Dj alikuwa wa ukweli
mumy b dancing dirty sexy
mapose sikwishi kushika nywele nilizipendaje.
mawazo yakaanza baby brandon sijui kesha lalah!
high heels zinakufanya sexy ila chamoto unakiona maumivu ya miguu lazima ukae chini upumue kwanza.
moi n hubby Alain
siku yetu ikaishia hapa tukaanza safari ya kurudi home nikalala masaa4 then nikamkia kazi kweli starehe gharama!
21 comments:
That's was huge dress jully
Ullipendeza sana apart from that mapozi yanajirudia .nywele nzuri kakusuka nani turushie namb ya msusi pls
Pendo
Hiyo colombiana na mie niliona ninzuri sana yani ukilinganisha na ile wanted ya angelina hapa zoe upo juu kamvunika mbaya mrs britt
Sexy mama mie hizo kucha na rangi yake ukamatch na gauni ulipendezaje upo juuu
uuu
Msema kweli
Mie naona kawaida tu hakupendeza wala nini
yani ktk nguo zote unazo vaa nikakuona yani kidogo kidogo ni hii lkn bado sana bint ktk kuvaa yani sijui unaonyesha fashion ya nini ikiwa wewe mwenyewe kuvaa hujui jamani.
mamaloshie by kigamboni mji mdogo.tetettetettet naona ulipendeza mashalaa umepungua vizuri .kazi kweli kweli kweli na mumeo kapungua sana hongera zenu my sis salam kwa mama mchungaji na lazaro na wengine wte.miss u hahahhah tusasonyaje naona wengine wameshaanza kukunanga .du
ha ha ha wivu ungesema tu kawaida na sio hajapendeza, mie kwangu kapendeza ila hubby kavaa tofauti kbsaaaaaaaaaaaaaaaa na wife km hawapo pamoja
Tetete kila kiumbe kinafashion yake bana hii ndi yake jully hajakuomba uicopy na kupaste dada mbona utajibeba mwaka huu.
Hubby naona kapungua unene
Mamaloch sie wazima.jacky ajambo tumekumisije hahaha kunabinadamu wameubwa kukosoa watu ndio kazi iliyowaleta duniani kwa hiyo usijali wananipa go ahead mana na grab TENSION zao.mumy bulando pendecha balaaa
mpenzigauni lako designer ni nani? au ndio Mark jarcob tetet pendeza veve
ukitaka koment nyingi lazima ujichetue kwa blog yako duh!!!!!! cku zote watu hawakoment na wakido basi 2 au 3 leo mpk 12 duh kisa nini???????? wanaponda
fashionista....hahahahahahahahahahaha kaaaaazi kweli kweli.....
tettette walambishe walambishe washamba washamba hao wataishia kuguna tuuuuuuuuuu wamezoea H£M za kr 30 tea mpaka rea chezea wewe
kappa limetoka bubbery
gauni- maschiano.
kiatu-louboutin
clutch-MK
rangi ya kucha-OPI
unyunyu-oscar de la renta
nywele -ebony
humo ndani ndo wala usitake kupaona-ni victoria secret latest collection.chezeaaaaa......mtasonya sana!!!!!
appa limetoka bubbery
gauni- maschiano.
kiatu-louboutin
clutch-MK
rangi ya kucha-OPI
unyunyu-oscar de la renta
nywele -ebony
humo ndani ndo wala usitake kupaona-ni victoria secret latest collection.chezeaaaaa......mtasonya sana!!!!!
Mmmmh kunawengine atamvae designers bado mnakuwa kichefu chefu kama ndio mmeshuka jana ubungo mana nywele kama walimu wa primary,na ivyo no makeup basi ni balaaa kaoooogeee tu mtuachie wengine hizi ndio fan zetu urembo kujifunzia ulaya wapi na wapi UTAISOMA KIMYA KIMYA UTANUNAJE
POINT OF CORRECTION SIO BUBBERY NI BURBBERY
acheni wivu wajinga nyie
kwanza dada wa watu mzuri,ana jicho,shepu na mguu pili amependeza
nyie ndo wale wabeba box,hamna cha kufanya kazi kushinda kwenye mablog na kukosoa wenzenu
mumy losh sikujui hunijui ila wewe ni mzuri na umependeza
Asanten mdau hapo juu
Mumy losh
Nyoooooooooko uvae Loubotin unauwezp gani malaya mchafu wewe??????????? Anaevaa Loubotin sweden hii tunamjua nahatumtji shenzi zakooo
Post a Comment