Feb 22, 2012

MY CASUAL WEAR-

Summetime ipo njiani jamani hata sitaki amini ,tunapumzika na mizigo ya majacket
na soksi nzito,gals it's time to show wat got from ur mama.last
year summer ilikuwa poa kwangu mana ni loose sum weight ila ya mwaka huu naona nip
kibonge flani utata kupata nguo yakunifit.
hey dolls , my casual wear was simple n sexy,no make up added.
 i wore pink top from zara,black blazer from H&M.
BEAUTIFUL
SMILE I LUV MY SELF


 skinny legging dark blue jeans from Zara,LV damier Azur
canvas handbag,and white flat perforated shoez.
kisss

12 comments:

Anonymous said...

Ujanene kiivo mama b .umependeza

Anonymous said...

umependeza. unawakimbiza balaa una sura nzuri black beauty. so cute so sexy, nawaonea huruma wenye vijiba vya roho.jiachie mwaya kwa raha zako. wataisoma namba japo kimoyomoyo.

Tino said...

now i can see kwanini mrundi anadata yani upo natural beauty mzuri mjaluo wewww hongera bwana shemeji hapo umechagua

JALUX'S FASHIONS said...

lol asante Tino kwa kuliona hilo

Mdau Norway said...

Nai nai umenikoshaaaa leo mana nafungua mara kitu cha nai nai uwiiii mama b me luv uuu kila kukicha unakuja upya

JALUX'S FASHIONS said...

asante my dear kama unafurahia namie nakupenda mbaya
xoxox

u diserve this said...

Hahhaha hasira za nini mama wawili.matusi hayabadili uzur wa mtu black always cute no matter wat pole sana nakuona unajazba maneno yanakutok kam unatak kata roho unalo hilo bwana ndio yuleee anamali mpya wewe unahaha huyooo utazeeka kwa wivu.mie kwa raha zangu na hubby wangu jipange tena bimkubwa hapo umechemka

Anonymous said...

Teteteh du kijembe cha nani hiko.

jackie said...

I luv ur out fit so sweetie baby

Anonymous said...

Pochi lakio zuri .umenunua wapi?

Anonymous said...

ma ma brandon ur so cute,pochi lako niazime sama hiiiyooo.

Anonymous said...

jamani matusi hayafai nyie watuu lol.

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...