Lady B wardrobe yake naona imejaa Cl mara nyingi ukichunguza viatu vyake ni nyayo nyekundu du
asije nae anachakachua na kopo la rangi lol.i luv her look was simple black n yellow.
I LUV THE SHOEZ
Vidoleni alivaa two finger ring ,hii style ilinipitia kushoto japo naipenda sana nikiona
mtu ameivaa hii ring ,naona kama mzigo mkubwa labda mshamba! Aldo,Ã…hlens,Glitter
na Gina tricot wanarings hizi nzuri mno kama mpenzi tembela huko.
No comments:
Post a Comment