CHRISTIAN MANONGI aka SINTA ALIKUWA MWIGIZAJI WA TAMTHILIAZA KISWAHILI TANZANIA, AKAPOTEA KWA KIPINDI KIREFU NA KUSEMEKANA ALIKUWA NCHINI UGANDA KIMASOMO ,ILA KWA SASA ALISHARUDI YUPO BONGO ANAENDELEZA MAISHA YAKE,SINTA ALIKUWA AKIANDIKWA KILA SIKU KWA KASHFA CHAFU NA MAGAZETI YA DAKU ILA KWA SASA AMETULIA MPAKA TULISHAMSAHAU HOPE HAYO MAGAZETI WATAMPA BREAK NOW.
HAPO WEEK ILIOPITA ILIKUWA AKISHEREKEA BIRTHDAY YAKE
HAPO MIAKA YA NYUMA ALIPOKUWA MSANII.
No comments:
Post a Comment