Alipendeza mwenyewe na gauni pembeni akiwa na shost wake Sauda Mwilima.
HUYU NDIO MMEWE
mashost walipokuwa saloon wakipambwa kabla ya ndoa.
Sauda sikuizi amefunguka kwenye swala na makeup amekuwa anapaka vizuri na kupendeza hongera mama kwa kukubali ukweli wa maneno ya watu na ukalifanyia kazi ni wachache wenye moyo huo .
3 comments:
alipendeza sana,mungu amsaidie aishi vizuri na mumewe mpya.
shoga usanii anauweza shuti kichwa chini yani zile za kimwali kbs kumbe ndoa ya pili. hongera zake lakini mana wengine hata iyo ndoa moja hawana
Mme nae mkorongo si balaaa watapishana kwenye dresstable kwa foleni
Post a Comment