hapa unaona utofauti alikuwa sharobaro ivi dini imemkaa.
Apr 1, 2011
LOON KAWA MWISLAMU SAFI
Mwanamuziki wa rapper loon(chauncey Lamont)alizaliwa mwaka 1975huko Harlem ,wengi wenu nadhani mnamkumbuka alikuwa akiimba na p.didy.mwanamziki huyu ameachana na maisha ya uanamziki na akabadili dinina kuwa mwislam na akapewa jina la Amir Junaid ,alishakwenda Maca kuhiji.2010 loon aliamua kuanza kufanya ziara zake nchi mbalimbali kwa kuhimiza vijana kuachana na mambo ya uasherati na kufuata neno la mungu.
hapa unaona utofauti alikuwa sharobaro ivi dini imemkaa.
hapa unaona utofauti alikuwa sharobaro ivi dini imemkaa.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
2 comments:
Kuna kitu mi sikielewi wadau hivi kuwa muislamu ndo hutakiwi kuwa smart au kushika sn dini iwe ya kikrito au kiislamu kunafanya watu wasiwe smart????? mana mf hapo angekuwa msafi vilevile au midevu ndo ishara ya uswalihina???????
I wish ningeona picha ya Mtume nimuone tu muonekano wake may be alikuwa anafuga madevu pia au pengine ni mapenzi tu ya waswaliina wengi
waheshimiwa tujaribu tunapoandika coment tufikiri sana jani tusiandike tu ilimradi umeandika sasa wewe uliyeandika hapo juu.nikuulize mtume kafata nini hapo.hapo anazungumziwa loon nasi mtume kwani umeshindwa kutowa mfano mwengine hadi mtume? jaribu kufikiria unapoandika coment.
Post a Comment