Apr 14, 2012

SAUDA MWILIMA WEDDING DRESS

Sauda Mwilima jana alifunga pingu za maisha na mpenziwe na hivi ndivyo alivyodress .

weeding dress ilikuwa na rangi nzuri!




Baada ya kufungishwa ndoa akavaa white ukumbini


bwana shem kaamua kunyoa nywele sasa anaonekana nadhifu.

No comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...