Apr 30, 2012

HAPPY LABOUR DAY

Hey jalux family out there leo1st May twafurahia siku ya wafanyakazi duniani! hope mtakuwa home kama unafanya kazi pole kwa mchoko but  u know kila mwisho wa mwezi tunafurahije...
actually mie naipenda sana kazi yangu jamani mana inanifanya maisha yawe rahisi na kuyafurahia
i got what i want at any time, nafurahia achviemement zangu mungu anisaidie niwenayo mpaka nitakapo amua kuiacha MWENYEWE.
Happy labour day kwa wafanyakazi wote

nikiwa na Uniform za kazini, yani hapa ni kazi uvivu no kazi miezi 19
non stop, then voccation lol.
last sunday tulikuwa na office party kwa ajili ya sikuu ya Labour day 
na hivyo ndivyo nilikudress
nilikuwa orange gal !pose zinanishindaga kabsaaa
nilikupumzika na gown by this time
naipenda hii blouse mgongoni



mama murundi was about to hit the party
msishangae viatu tofauti baridi lilinipiga na upink nikauweka pembeni ,nilienjoy mno with my gals
Jiliana a.k.a Mdau norway,Helen,Solange,Vivian luv u gals
MSG
Keep working hard and you can get anything that you want. If God gave you the talent, you should go for it. But don't think it's going to be easy. It's hard!
ENJOY YOUR DAY
KISS KISS

15 comments:

mirium said...

asante nyako umependeza na kipara mamaa kweli wanawake tunaweza bila kuwenzeshwa ni kazi kwenda mbele

Anonymous said...

i shoudnt say any thing on that your looking absolute fine with natural hair

Anonymous said...

mwanamke mrembo unamjua akinyoa bibie we mzuri yani hakuna la bisha

Anonymous said...

heheheheheheeeeeeeeeeeeee ooooooooiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii shoga huyo umepiga sim kualikwa kwenye shuhuli du kazi unayo loo!

Anonymous said...

mfyuuuuuuuu.....mijimbwa mingine bwana utakufa naloooooo.wanampenda ndio maana wamemwalika mana kama kapiga simu si wangeweza kumkatalia..fanya mambo yako shughuli hata kwenu uliziacha,huna haya watu wanakuchora tuuuu...koko jike wewee..ujumbe wa aliyeandika hapo juu..na yatakudodea sana bado huo ni mwanzo.

Anonymous said...

jully u rock i lyk ur out fit keep it up.

Anonymous said...

Nani tena huyo kaomba mualiko?wangeomba wenzao wangewatoa mpaka kwenye Metro hahaha,ndiyo ujijue unamatatizo,wanawake wote wa stckhlm wamealikwa wewe tu ndiyo umetengwa Mpaka unapiga simu kuomba mualiko?kiboko!,change msichana umbea na mdomo punguza,jamii inakutenga,Leo nimeamini asiyefunzwa na mamaye ufunzwa na ulimwengu.Ulimwengu huo sasa unakufunza.

JALUX'S FASHIONS said...

poor u yani unawivu mpaka kupitiliza mwaliko unakutoa macho sasa unakuja kuandika huku ili iweje yakwamba nigombane na walionialika bibie unafki utakuuua kwanini uishi kwa wasiwasi mwaliko ninao tena nitakuja nikupe presha zaidi,yani maisha yako wewe unawaza mashughuli tuuu nani afiwe ukapike nakuosha vyombo ndio cha mana kwako uruma kweli kweli

Anonymous said...

Heheheh nauje na Dada yako nakitumbo chake mtaonge zaidi mkitoka hapo manake nyinyi Ndio mnakuja kwajili yA Umbea Ndio..wewe mambo yA msiba nikwakila mtu Leo kwako kesho kwa mwenzio sasa subilia siku moja akukute sijui nani? Atakusidie kuosha hivyo vyombo.

JALUX'S FASHIONS said...

sasa kati yetu na wewe nani mmbea upo stockholm ushajua kitumbo chake na ujamwona yani wewe una Ph D ya umbea na ndio kila kona upo utasema mchele roho inakuchomoka kualikwa mbona hapo sie tupo wewe uende tu mapema ukatupikie chakula wageni tuje kula hahhha mama mashughuli mie shida ikinishika waswed wapo si raia watanitake care vizuuuri kukuzidi weew muosha vyombo bora stockholm

Anonymous said...

bado yatawauma sanaaaaaaa...huo ni mwanzo tu si mpaka tuwatangazie tehe teheeeeeeeee..watu kumbe hawalali kwa ajili ya wengine lol.mama ya murundi lipukaaaaaaaaa no utani pesa zako mwayaaaaa...

JALUX'S FASHIONS said...

haha mshamba wa darlive huyo kazoea kila jambo atangaze hana private life .anataka awaaribie wenzake shughuli kimbelembele kama yeye ndio mtoa card na mtaishia kuchezewa tu wenzenu wanaolewa magegume nakukera hama mji

mamaloshi said...

hahhahahhahhah mama loshie jamani dar live anahangaika sana.mbona kazi kwani anahasira yanini wakatimimba yake alitoa walewale.si utafute ingine hahahhahah unajichoresha dar live tulia .mshukuri mungu upo hapa ungaibuni hatujaja kutafutana tumekuja kutafuta maisha.msonyoooo.sanamu la michelin. na unatamani ndoa ndo bado hajafika zamu yako zidi kuomba sana.

Anonymous said...

kimbiza mwizi men.huyo inamuuma watu kualikwa mana anapendakugombanisha watu sana tunamchora tu .house g.wa misiba kujipendekeza ajambo .kimbiza mwizi men .badala lijichanganye likamfate mwanae anahangaika na umbeya .shambailo .dar live.hahhahah

Anonymous said...

UNAJISHTUKIA UMETAJWA JINA !KAMA HIZO MSG ZINAWIANA NA WEWE BASI UTAJIJU NA GAZETI LAKO LA METRO HUMU NO KAOGE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...