Dec 6, 2010

WANAMUZIKI WAKIKE WANAOENDA NA FASHENI EAST AFRICA.

Katika anga ya muziki wa Eat Africa, imeshakuwa competition kubwa .Hasa kwa upande wa wanawake. Tanzania,Kenya,Uganda zote zina wanamuziki wenye viwango vya hali yajuu.kuanzia uimbaji hadi uvaaji.kuna badhii ya wanamuziki walishinda Mtv Africa Music Award mfano Lady jay dee toka Tanzania.Wahu matheng wa kenya na Juliana kanyomozi wa Uganda. ila kuna wanamuziki ambao hawa kwa swala la fashions wako nalo sawia na hata ukiona video za miziki yao huchoki kurudia angalia.make up zimepakwa ipasavyo  na nice hairdo.
BLUE3 TOKA UGANDA.


      Hawa ni first selection kwangu nawapenda sana .

Sarah aka shaa toka Tanzania.


Amani toka kenya


Nakaribisha mawazo yenu.na nyinyi kama mnaona kunawengine wana ginger swagger zaidi ya hawa.

13 comments:

Anonymous said...

hii list mie naikubali mana wanamuziki wa uganda wanajipanga sana mana hao blue3 ni hatari na bado wale obsession nao wanajitahidi.

Anonymous said...

pipo hapo klynn jaqueline kamiss kweny list yule dada anavaa
sana.

mumy p said...

ray c ndio chaguo langu japo anakamchezo ka kurudia nguo

susy said...

no body else than blue3 ,those chicks got a sense of fashions angalieni tu video zao.

msema kweli said...

jay dee gogogo no one like u,wengine ni michemsho tu hapo

Anonymous said...

mmmmmmmmmmmmmmmmmmmh kwa amani hapo sidhani huyu waga ni mbabaishaji kwenye mavazi mara apendeze mara achemke.

Anonymous said...

awesome juliana

pamela said...

hapo mtake msitake shaa kafunika bovu unywele mpaka make up hamtaki mjibebe.

Anonymous said...

kwikwikwi kwa jay dee ni nooooooooooooooooooooooo ni nitaandamana sidhani kama alishawahi pendeza maishani mwake.

Anonymous said...

iyo list ni shaa tuuu mayb na kyline ambae hajawekwa Amani na Juliana huwa wanaoteaga hawalipuki kila siku yani hata kdg kuna siku hutamani kbs kuwaangalia.
Jide pamba zipo ila jamani sijui kwanini hapendezi hata ikiwa ya garama lol

mrembo said...

ANONYMOUS WA HAPO JUU NAKUBALIANA NA WEWE KABISA JAY DEE ANANGUO SEMA HANA DAMU YA NGUO TU .

Anonymous said...

kwikwikwi kwa jay dee ni nooooooooooooooooooooooo ni nitaandamana sidhani kama alishawahi pendeza maishani mwake.

WEWE UNAEMNANGA JAY DEE MBONA WEWE HATUKUONI NA VIJINGUO VYAKO HUO WIVU TU ,SURA KAMA JIPU

Anonymous said...

tetete eti sura kama jipu ushawahi niona wew nilivyo mrembo nyamafu,wew sura kama babu yako na jay dee hapendezi hata avae ninihabari ndio hiyo .

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...