Dec 5, 2010

BLACK FIRST LADIES FASHIONISTAS

Itokeapo watafute black first ladies fashionistas, hawa wanawake wafuatao hawatakosekana kwenyelist. Nikimanisha first lady wa marekani ni Michelle Obama huyu mama anaijua style. Ukiangalia picha zake nyingi anajua kupangilia  mavazi yake, nywele, make up na viatu. Na huvaa kulingana na mazingira. Michelle sijawahi ona picha ambayo anachukiza  kimavazi.

                                                              Mrs Obama.


Chantal Biya huyu ni first lady wa Cameroon, huyu mama anajitahidi sana kwenye fashions, ni mbunifu wa mitindoto tofauti ya nywele. Hair style yake anaiita banane, ingawa watu wengi walishaa iongelea kwamba haieleweki kama ni wig au weav na wakaipa jina wigeave, mara nyingi huwa rangi ya brown na nyeusi.
                                                                 Mrs Biya .

Salma kikwete ni first lady wa Tanzania .huyu ndio ananikosha kabisa mana mavazi yake ni yakiafrica.,anajua kuyapangilia akishona gauni basi na lemba lake, hakuna vazi nilillo lipenda kama aliloshona na kunakshiwa kwa rangi za bendera ya tanzania ,na mara nyingi  hufunga lemba kichwani. anapendeza na kuonekana more natural.                                                    
                                                   
                                                                      Mrs Kikwete.
                                                                        
                                                                           

8 comments:

Anonymous said...

yani usingemrusha mama yetu Salma ningeandamana sio siri nae anajitaidi sn compaed na mafirstlady wote wa bongo walopita

lisa said...

huyo chantal ni mweusi au ni mzungu mana hata haeleweki

MDAU SWEDEN said...

SALMA KIKWETE YUPO JUU KAMA MBUYU VILE ,MMEWE MJANJA WA MJI HAWEZI MWACHIA MKEWE AVAE OVYO.

msema kweli said...

chantel haeleweki mana wengine wanaseam ni mfaransa na mcameroon,
ila bibie anakanusha kwa mapana anajiteta kwamba anajichubua ndio mana mweupe lol

Anonymous said...

michelle obama is da best firstlady i have never seen b4

marium said...

jamani salma kikwete yupo hot we should be proud of that

Anonymous said...

incredible salma kikwete zechea wewe anaekataa mpe namba yangu yasimu tumalizane.

vailet said...

hii blog ni nzuri na leo ndio mara yangu ya kwanza kuingia lakini nimeipenda hongera mrembo rindima uwenzavyo tupe habari za fashions.
xoxoxo

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...