Dec 4, 2010

NICOLE RICHIE GETS READY FOR HER WEEDING THIS WEEK END?

UVUMI MWINGI UMEONGELEWA  MWEZI JANA KWAMBA NICOLE RICHIE ANATEGEMEA KUFUNGA NDOA NA JOEL MADDEN WEEKEND YA KWANZA YA DECEMBER AMBAYO NI LEO ITAKAYO FANYIKA NYUMBANI KWA BABA YAKE LIONEL RICHIE ,NICOLE ALIFANYA PARTY YA BACHELOR NA MARAFIKI ZAKE KAMA CHRISTINA AGUILERA NA HIKO KIKAWA KIASHIRIO TOSHA NDOA IPO NJIANI LETS STAY TUDE TUONE MATOKEO.

NICOLE RICHIE AKIWA NA JOEL MADDEN ANAETEGEMEA FUNGANAE NDOA.


No comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...