Woow nimefurahi utasema niliachwa mimi sasa nikarudiwa! jamani wawili wakipendana
waacheni tu hamwezi kuwatenganisha daima,mfano hai kama mimi na my burundi ata mpelekee habari gani juu ya mkewe atawaona wajinga tuu bora mtulie nahizo habari zenu na waume zenu.
Chriss anakamatia kabisa hataki mpoteza Riri lol
wajameni mkamate mmeo au mpenzio hata kama gumegume limemkalia kooni.Ugomvi ni chachu ya mapenzi sio sababu ya kuachana!Mwanamke jua kupigania penzi lako kama Riri.
Hope watarudiana na kuelewana wanaonekana walimissiana lol
sipati picha karrueche atakavyokuwa amenuna badaa ya bwana wake kumkiss Riri
9 comments:
Tetetete @siujua mapenzi .yanaandikagwa.ikifika .mda unaweza.kuachwa.bdae .ukarudiwa .ilishapagwa .#@kazi pale kama ulichelewa kujipanga.alivyokuja uko kawko ka bi mdogo.sikuzte .tu chake .utaishi .Mambo.nyama.inamwenyewe .wabarikiee warudiane .
Tetetete inatufundishsa.sana .wanawake .tusijidanganye .cha mtu mavi .anamlala dada wa tu.akili .yte kwa riri .@ napita tu.
HahahahahH @wakuache miaka 800.muke wa murundi.watajibeba.joluo ngangali .tugawane ustsrabu.mjini.skonga.tenà .
usijali mrembo wewe ndio wake wa moyoni walikuwa wapi kuwahisha izo habari kabla hajakuweka ndani kwa sasa ni late sana go girl luv kuzin
Mh! Dunia inamambo
thanks norah
ngaiza unalijua leo hilo!dunia imejazwa na mengi
Hahahs ya chini ya kapeti bwana .......... Heka heka! Mnaota mchana?
Wewe unaota .usiku .wangapi wanaota .unampya .¡
Post a Comment