Wanawake wengi dunia tumekuwa na tatizo la kutojua size gani ya mwili inatufaaa,wengi wao huanza tafuta njia mbali mbali za kutafuta majibu ya miili yao.wapo walijiona wanene wakitamani wapungue kwa mazoezi operation na wengine hunywa madawa makali ya kupunguza mafuta kwenye miili yao. group jingine wao hutamani kuwa wanene nikimanisha wale skinny gals ,hunywa madawa ya kuwapa high appetite na kula kupita kiwango wanachokulaga ili wanenepe.kwa mtazamo wangu mimi size nzuri kwa mwanamke ni medium nikimanisha kg 50 au 65kg ambayo humfanya mtu kuwa comfortable asisikie uvivu ,nauraisi wa kupata size nyingi za nguo madukani,haswa nguo zakutokea usiku huwa tatizo kubwa kwa wanawake wanene kuzipata madukani.
|
JULIETH ANAUZITO WA KG 60, HII NDIO MEDIUM NAYO MAANISHA. |
|
.KWA WALE WENYE SIZE KAMA ILE YA FIDE MNAWEZA KAPUGUA KWA KUJALI DIET NA MAZOEZI MANA FIDE UKIMWONA SAIVI UTAMKATAA KAMA NI YEYE ALIVYO PUNGUA VIZURI . |
|
FIDELINE BAADA YA DIET NA MAZOEZI ,BILA MADAWA WALA OPERATION ,SHE DID IT! |
|
KWA WALE WENYE UNENE HUU NAO WANACHOTAKIWA NI MAZOEZI KWA WINGI,DIET NA KUJIEPUSHA KULA VYAKULA VYA SUKARI NYINGI ,CANDY ,CHOCOLATE ICE CREAM .YOU SHOULD BE PROUDY OF YOUR SELF ,NA ITAKUSAIDIA UJIONE SEXY,STRONG,STYLISH AND HAPPY KAMA GABBY SIDIE. |
10 comments:
shoga urefu nao unamata kwenye kilo we kuwa na 60kg na urefu wako sawa sawa ila andunje km mie subutuuuuuuuuuu shoga nakuwa km kiloba uso duara km tikiti maji hata uwo wa Gabe cjui Gabo unananafuu
Shoga hata ukiwa proud of who u are kwenye swala la mavazi km ulivosema kasheshe haswa, uache kazi ufanye kazi mayb kwa U:S:A juu vibonge wengi ila kwa Sweden utaishia kuvaa vingwendu weeeeeeee mpk utiwe alama
haloooooooooooooo kibonge na tumbo km mwafulani kudadadeki hata kingwendu hupendezi. Chezea minyama wewe eh
unene jamani unene lol afu basi nyuma uwe umeteleza bafuni(bapa) chichemi mie tena chitaki kabicha kunnkufulu mja
saizi ya kati mana wembamba sn jamani lets say Victoria Bekam hpn utasema skeleton saizi ya kati yenye kupata nguo nzuri za kupendeza
ANYMOUS HAPO JUU KABISA HAINA HAJA YA KUKATA TAMAA YA KIMO CHAKO WEWE
CHAMANA KUFA NA DIET MANA,NA UTAJIONA KAWAIDA TU MWANAMKE KUJIAMINI BANA .
Shoga hata ukiwa proud of who u are kwenye swala la mavazi km ulivosema kasheshe haswa, uache kazi ufanye kazi mayb kwa U:S:A juu vibonge wengi ila kwa Sweden utaishia kuvaa vingwendu weeeeeeee mpk utiwe alama.
WEWE UMENIVUNJA MABAVU
hahahaha shost usinivunje vijimbavu vyangu sweden kweli ni kalasonga kwenda mbele ila kuna wengine wabishi na fashion mtu utamkuta jinene hilo alafu linavaaa nguo ya kumbana basi minyama uzembe inavyo anguka mmmm.
wembamba mno nao haupendezi ni mifupa mingi ndio inakuwa inakaki
fideline kweli kapungua kila kitu nia ,mana alikuwa mnene huyu dada ,wajameni ngoja namie niache kula kaka mdudu wa mbao,nianze diet lol
THAT GAL CALLED JULIETH ,SHE LOOKS AMAZING IYO SIZE YAKE NI FIRST CLASS
Post a Comment