Top model of colour ni mashindano makubwa ya modelling,ambayo yanahusisha rangi za mataifa mbalimbali kama(models of Africa,Caribean,Hispanic,Oriental Asia na mchanganyiko wa uridhi wa makabila, nikimaanisha mixed.mashindano haya kawaida hufanyika UK na mwaka huu walio shiriki toka nchi za africa ni Gambia,Ghana naNigeria .Nana Afu mwanadada tokea Ghana ,anaesomea art na design london,ndio alitunikiwa Crown ya top model of colour 2010 nov 27.
|
SO CUTE BLACK BEUT |
|
SHOST AKIWA NA KIVAZI CHA BEACH,STYLISH TATOO YA MGUUNI. |
|
SHOST AKIFANYA CATWALK ,NAONA NJANO NDIO FAVORITE YAKE INAMPENDEZA. |
|
HAPA BAADA YA KUTANGAZWA YEYE NDIO MSHINDI. |
|
HAPA AKIFANYA CATWALK YA LONDON FASHION WEEEK. |
6 comments:
nana analipa.
yellow dress zinapendeza sana mablack beut,zinawafanya wang`are zaidi.
i luv ur tatoo its all about yuuuu.
imemfit haswa.
Tanzani mbona hatujashiriki nipeni info nikashiriki mwakani nipo naishi uk.nitashukuru ushirikiano wenu
kila lakher bibie naona ingia google utapata more info za top model colour uk.
nana honghera zake nimependa tatoo yake balaa
Post a Comment