LEO NI SIKU YA UHURU WETU TANZANIA
D
ecember 9 ,kila mtanzania husherekea siku ya uhuru wake.ambapo tulipata uhuru mwaka 1961.bila kusahau mashujaa wetu Julius kambarage nyerere,Alexander Gwebe alietubebea mwenge wa uhuru kwenye kilele cha mlima kilimanjaro.
JULIUS KAMBARAGE NYERERE,LOVELY MEMORY OF TANZANIA
4 comments:
GO GO TANZANIA NO BLOOD AT ALL MPAKA BENDERA YAPENDEZA,
julius nyerere mwangaza wa tanzania may God bless u
THANKS GOD MPAKA LEO NCHI YETU IPO SHWARI TUONGOZE MPAKA KIAMA KWA AMANI.
asnte mwenyezi mungu kulinda nchi yetu na watu wake pamoja.tunaipenda nchi yetu
Post a Comment