Mwanamitindo Ally Rehmtullah ni kijana mdogo,aliesomea graphics na fashions huko Marekani Philadelphia.kazi zake zinabase kwenye tamaduni tofauti na vitenge.alishafanya kazi nyingi ndani na nje ya Tanzania.alishinda mwanamitindo bora mwaka 2007 nchini Tanzania.
|
MWANAMITINDO ALLY REMHUTULLAH |
SHOW ILIFANYIKA NCHINI TUNISIA
|
MAVAZI YALIO DESIGN KWA KHANGA NA VITENGE ,SHOW ILIFANYIKA LONDON |
|
LADY IN PINK ILIFANYIKA TANZANIA . |
Inapendeza kazi yake, nivizuri watu tujitokeze kununua nguo(viwalo) vya wanamitindo wetu kwa kuwapa support.
No comments:
Post a Comment