mbalimbali.wabuni wa mavazi wa Tanzania walishafanya show mbalimbali nchin Tanzania ,ili kila mmoja aweze kuitangaza kazi yake.week hii yote nitakuwa nawaelezea kila mmoja wadhifa wake na kazi yake katika swala la ubunifu. leo tunae mwanamama Asia Idarous khamis, huyu ni mwanamitindo anaebuni
nguo zake nyingi kwa kutumia materials za khanga. ni mwanamitindo mkubwa nchini tanzania. kazi zake pia hufanyia marekani.
Asia Idarous |
ASIA AKIWA NA MODEL WAKE WAKIONYESHA UBUNIFU WAKE, KATIKA SHOW YA USIKU WA KANGA ZA KALE. |
SHOW YA MISS RED ALIDESIGN HIVYO. |
GAUNI LILIKUWA DESIGN NA ASIA KATIKA SHOW YA MISS RED. |
HAPA ALIBUNI NGUO ZA MAHARUSI .
No comments:
Post a Comment