Dear customers twapenda kuwafahamisha kwamba Jalux fashions boutique ya wajanja limehamishiwa kinondoni opposite na vijana social hall na Mango garden si pakupotea kabisa Kama umetokea mwenge panda buss la mwenge mbagala au mabibo m-makumbusho kituo kinaitwa vijana Ukishuka tu utaliona lipo barabarani karibuni wote
Karibu n shop nasie kipindi hiki cha valentine .
Xoxo
No comments:
Post a Comment