Week end imefika, bila shaka mashost hamkosi pakwenda kufurahia
week end jalux inakupa tips za outfit ,utadress vp kulingana na unapokwenda.
ukitaka mburuzo ndio huo na belt lako.
Jlo anawakilisha na min gown hapa kwa wale wa vimini.
leggings n blazer nayo ipo hot
kidada zaidi
wapenzi wa jump suit ya short
wale wakanisa jumapili out fit inafaa
wale wa short pants
No comments:
Post a Comment