katika swala la uso hapa kunamengi yanayojitokeza ila leo nagusia tu swala la nyusi,hii ni sehemu kubwa ya kumng'arisha mwanamke sura hasa zikitindwa vizuri na kupakwa wanja na atakama sio mpenzi wa wanja wewe ukazishape tu nyusi zako unaonekana binti mrembo zaidi.sio unaacha nyusi zimejaa kama kidole bwana.
kwa wale wasiopenda wanja unaweza zitinda kama lulu hapa na sura ikavutia.
Irene anauchoraga wanja balaah
my lil sister micka mwenyewe haukoseaga wanja wake
hizi vimenyolewa nene wadada wengi nao wanaipenda hii style
hapa ni two in one nikimanisha ametumia tone mbili tofauti,brown wanja na black haya fashionista ichukue hiyo
NBKiukweli napenda sana kupaka wanja ila bado sijaujulia ila naridhisha tofauti na wadada wengine wanapaka wanja kama wanapakia na kidole jamani ningeweka picha zao ila nitaaribu hali ya hewa humu.
,hapo wanja wangu wa magumashi ila na hope ipo siku nitauchora vizuri.
5 comments:
ukweli mtu sasa sie tulio ulaya na kujinyoa hatujui tufanyaje?na sindio tunabaki na nyusi kama kidole
hahahha mwanmake wanja babu,mie nikituma wangu mumy jalux utashangaa
bibie jifunze kujitinda mbona kunaviwembe,uzi,veet zote hizo ni kujichongea jaribu bibie hutoshindwa
jully mbona wanja upo sawatu ila unajishtukia mpenzi mie naupitisha kabisa
tupe raha bwana weka picha izo tuone huenda nisie ndio tunaojikosea kupaka tutajijuaje!
Post a Comment