May 8, 2011

HAPPY MOTHER'S DAY

Happy mother's day its a special day,siku ya kujivunia mwanamke.ameweza himili miezi tisa ya mimba na baada ya hapo kulea mtoto ,sio kazi rahisi. naipenda sana siku hii ya leo,inanifanya nisikie nafuraha mda wote maishani mwangu mana nimeweza tengeneza copy yangu hapa duniani.kuitwa mama ni ushujaa tosha yoyote mwenye mtoto anaastahili pongezee.na kama bado hujabahatika basi jua mama yako ni shujaa hapa duniani mpende zaidi na kumweshimu.LEO NI SIKU YETU WANAWAKE BASI TUPINGE KUTUPWA KWA WATOTO WACHANGA CHOONI NA UTOAJI WA MIMBA PAMOJA TUNAWEZA.

Mimi na mwanangu Brandon anaenifanya niitwe mumy leo, nampenda sana.

Nancy na losh what's a lovely mumy nancy!


 Diana na rakhmany



Renatha na Baby Amani


Jesca na linda ,kama mtu na dada yake naipenda hii

                                             Mitsuka na kenzo


Linda na shanelly
                                                     

                          
                                   Evelina na mwanae
                                  


my lovely sister edna , a great mumy nimekosa picha ya mwanae



Summa na mwanae            

Betty namwanae
                                                                
                           
                                        Marday na mwanae

Jalux inawatakia happy momie's day, all your great mama out there,na kwa wale wakina mama kijacho(wajawazito) tunawakaribishwa katika ulimwengu wa umama.

2 comments:

Anonymous said...

aseante mpenzi na wewe pia

Anonymous said...

asante jalux kwakupa heshima siku ya mama duniani

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...