May 5, 2011

THE FASHION BOMB -MUMY N BABY

The fashion bomb leo inamuhusu mumy na mtoto,hakuna kitu kinanichukiza kama unakuta mumy amependeza ila mtoto yupo very rough,nywele chafu,mafua puani,yani inshort mtoto havutii kama mumy wake.jamani tuwapendezeshe watoto wetu kama tunavyojipendezesha sie,wanafurahia wanapopendeza nawao.

                                      


                         


                                        


                                     


                                        


                                              




                                            nia-long-and-son


                                               Kiyan Anthony, LaLa Vazquez


                                               jennifer-hudson-and-new-baby-2

3 comments:

Anonymous said...

Halelujah yani ktk siku zoooooooooooooooooooooooote leo mwanamke mwenzangu umenikosha tena sn hii ndo mada hasa na ILOMCHOMA basi abadilike Afrika na ulaya.
Wengi huo mchezo wanao kisa mtoto hasemi basi ndo atavalishwa vyovyote.Mama kutwa anatafuta SALE madukiani shuti ukishanunua unaweka pale kwenye vagn la mtoto nae basi mnunulie mana zipo punguzoni mama wapi.
Saingine vagn limechokaaaaaaaaaa au chafuuuuuuuuuuuu ila mama kapendeza vibaya mtoto mafua pua zote zimechacha afu ananuka vimkojo wakati mama hata km perfum hana atapita Ahlens mradi tu anukie.
Kingine nacho kweli watoto wanakuwa kila siku tuwanunulie nguo kubwa kiasi ila wengine jamani hata km bajeti mtoto blauzi km gauni kisa atakuwa nayo, pensi inakuwa km bwanga kisa atakuwa nayo kiatu km bulicheka kisa atakuwanacho jamani kina mama tuache huo mchezo tena sio kina mama tu na kina BABA pia. Najua baba nanihii utanuna ila imekuingia

Anonymous said...

Jamani mama namba 3 kanifurahisha mtoto atakuwa fashionista tu huyo.

Anonymous said...

Jamani FUNDI ana mbwembwe huo mkono huko unatafuta nini??
Mmependeza sawa sawa na mada mama penda mwanao shuti kofia kipindi hiki cha jua

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...