May 5, 2011

ITALIAN VOGUE MAY 2011 TRIBUTE TO BLACK BEAUTIES

Italian vogue may 2011,wamelitoa kwa kuchangia na kukuza zaidi african beauties,linavutia mana wametumia vibrant colors na swala la nywele ni afro hair hii ndio asili ya mwanamke mweusi,jikubali ulivyo unapendeza bila bleaching na kuonekana super natural beauty.



                         
                                        
   MIX YA RANGI INAVUTIA ,LACE WIG LA AFRO.


                                      
BLACK IS BEAUTY MWANAMKE MWEUSI ANAMVUTO MNO,USIARIBU RANGI YAKO KWA BLEACHING.


                                             

No comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...