Feb 12, 2012

WHITNEY HOUSTON FOUND DEAD IN BATHTUB





Mwanamuziki whitney houston amekutwa amefariki bafuni katika chumba alichokodi hotel ya Beverly Hilton huko Marekani Jana mchana, inasemekana haikuonekana chanzo cha kifo chake zaidi ya madawa ya kulevya yaliokutwa chumbani kwake,kabla kifo hakija mkumba ainasemekana alikuwa mzima akipiga story na rafiki zake wakinywa pombe kwenye bar ya hiyo hoteli.
Grammy party ilifanyika week iliyopita alhamisi aliattend na akaimba alionekekana yupo mzima.
Whitney amefariki akiwa na miaka 48,na ni mwanamuziki aliewahi shinda Grammy awards mara 6. ,Grammys Awards wamemchagua Jennifer hudson kuimba kama kumomboleza
marehemu whitney ambayo ni leo jumapili.
whitney alizaa mtoto mmoja na mwanzamziki Bobbi brown.
 akiwa na mwanae Bobbi kristina
R.I.P WHIT

Bobbi brown mmewazamani wa whitney.

                                                             

6 comments:

Anonymous said...

rip whitney houston

mdau Norway said...

we lost another legend sooo bad

Anonymous said...

wewe utakufa lini?

Anonymous said...

jamani mh ppl are crossing lines here!!!!!!!!!

Anonymous said...

wewe anomy hapo juu pumbavuzako unaombea wa2 kifo.

Anonymous said...

Huyo anitwa baunsa kapewa jina yani baunsa kweli kweli yupo mbion kuwa mlinzi wa bush haha ziwa katufe na yupo mbioni kufa unabisha kama uongo toa sababu za kunenepa gafla haha happy valentine baunsa

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...