Mar 8, 2011

MADAKTARI WANAO UZA WATOTO WACHANGA WAKAMATWA

UUZAJI WA WATOTO WA DOGO NI BIASHARA KONGWE AFRICA,MWANDISHI WA HABARI KENYA ALIAMUA KULIFANYIA KAZI SWALA HILI KWA KUTAFUTA
WAHUSIKAWA BIASHARA HII HARAMU .ALIJIFANYA NI MNUNUZI WA MTOTO NA MWISHOWE AKAWATEGA WAHUSIKA HAWA NI AIBU KUBWA BINADAMU KUMUZA MALAIKA MWENYE WAZAZI WAKE,NA KUMDANGANYA MAMA MTOTO ,MTOTO ULIEMZAA AMEFARIKI KUMBE UNAMFANYIA BIASHARA NI HABARI YA KUSIKITISHA
ANGALIAVIDEO.
            
                                                                        PARTY 2
                                                                            
  HII INAONYESHA WALIVYOKAMATWA ILA WALIANZIA MWANZONI  MWA STORY  MWISHONI NDIO UTAONA WALIVYOKAMATWA
                                                                               

3 comments:

Anonymous said...

mungu atusamehe jamani,inackitisha mnooo yaani ni ngumu kueleza kwa maneno ila ukiwa kama mzazi unackia uchungu ambao hauelezeki.

mashauzi said...

mashauzi ..jamni uku tunapoelekea na izi tamaaaa tutakufa pabaya.mungu mungu tunakuitaji kila mahala asnte kuwaonyesha hao hawana uruma mana miezi 9 kubeba mimba kazi .uchunghu

Anonymous said...

yani kunawatu wanapenda pesa mpaka wanapitiliza mama mbaya huyu kama hajui uchungu wa kuzaa mtoto ,yani hawa ni wakunyongwa sio kufungwa na bado tanzania waje nao wakamatwe wakina issamichuzi mfanye kazii hiyo

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...