
Baada ya short pant tunakuja kwenye swala la umini shirt hapa kidogo naona mie naweza kupakimbilia bila kujistukia kuzidi short pant kuivaa tupu sina ujanja huo nahisi manyenje yatakuwa wazi kimbilio lake ni kuvaa leggings ndio short pant kwa juu.wale wa vimini wanavivalia hivi summer time bibie kama mpenzi wa vitu hivi anza shopping.

3 comments:
am supporting u 100% swala la jeans shorts linaitaji kujiamini sio unavaa unajivutavuta kana kwamba itarefuka tena.
bibie sio kujiamini tu hapa kamguu nao uwepo sio ndio kama muwa ukavaa hivyo utatisha kiukweli
that fierce wear am in luv with it,speacial for summer time
Post a Comment